Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KUHUSU sura NZURI hata CHOONI!

>> Monday, May 21, 2012

Ndio,...
.... labda kila mtu ana SURA nzuri,....
.... na kisa kuna MPAKA wafikiriao SURA ikikunjwa MSALANI basi hiyo siyo nzuri,....
.... ni LABDA kweli kabisa ni MITAZAMO tu ya WATU ,...
... kama tu isemekanavyo,....
....UZURI wa KIDUDE u-JICHONI tu mwa ATAZAMAYE kidude.:-(

Swali:
  • AU?

Ndio,...
... labda ukipenda ,....
... weye ushapenda na PENGO hugeuka MWANYA kama tu MATEGE yageukavyo BOMBA tu kivilevile isamehewavyo wanukao maeneo kisa MTU kapenda!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!


Hebu ghafla tugewe YA UREMBO kwa VIGOLI- samahani- UREMBO kwa WADADA kutoka kwa  MDADA KOKOFEMME akiongelea  SHUGHULI ambazo kwetu wengine zimekaa kichina...

... katika ya-BEAUTIFUL FACE!
Au tu Remmy Ongala arudishe zote zisizo na SURA MBAYA...

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:21 pm  

Nimetoka sifuri hapa kwani kwangu hiyo kazi siifanyi...

Simon Kitururu 3:24 pm  

Unabahati!Kwa kuwa nasikia hii kitu hufanywa sana na wadada hata kwenye sura za chini ya kificha nyeti!:-( @Dada Yasinta

Yasinta Ngonyani 3:32 pm  

kama sio bahati basi ni ushamba..lakini siku hizi hata akina kaka wanafanya hivyo!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP