``KIDOGO´´ na ``SANA´´ ya NANILII!
>> Saturday, May 26, 2012
Kuna kuzidisha ,....
.... lakini labda KUZIDISHA ni lakshari za WENYENAVYO tu!
Swali:
- AU?
- Kwani UNAWEZA kuzidisha kama hakuna vya KUZIDISHA?
Ila labda PIA ,...
.... ``KIDOGO´´ na ``SANA´´´ni vipimo tu binafsi MTU ajifunzavyo KIBINAFSI,...
.... kitu kifanyacho kwangu kilicho KAWAIDA kwako kinaweza kikawa tayari ni kupitiliza na kwahiyo tayari ni UMALAYA ki -SANA TU kiulafi!Swali:
- Lakini si unakumbuka kuwa LABDA wingi wa kitu kama tu UCHACHE WAKE kitu hutegemea SANA kipimo cha kitu kingine ambacho MPIMAJI analinganisha nacho hata bila KUJUA- kitu kifanyacho KILO moja ya SUKARI ni ``SANA´´ kama inalinganishwa na KIKOMBE wakati labda ni ``KIDOGO´´ kama kipimo ni PIPA`?
Ndio,...
.... na kidogo tu KIUJAZO wa NANILII,....
.... inaweza kuwa inatosha kama lengo ni kufanya mtu apate HATA mimba KIIMANI!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Nakutakia SIKU NJEMA MKUU !
Hebu Burning Spear aingilie kati kwa-AFRICAN TEACHER
Burning Spear aongezee-Man in the HILLS
Aongezee-CRY BLOOD AFRICA
Halafu azime tu tena kwa -This Experience
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment