Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika kutafuta MICHUBUKO ya MAJERUHI ya BAHASHA iliyolambwa - BAADA ya BAHASHA kulambwa!

>> Thursday, May 17, 2012

Ndio,....
... KUJERUHIWA kwa majeruhi PANZI -kwa  mdomo wa KUKU,...
.... LABDA  sio mpaka  KUKU achubue  mpaka chini ya manyoyanyoya ya PANZI  ili nako kuwe na MADOADOA yaringiayo wenye macho na wafikiriao ni wajanja KISA NI KWA kuona kwao,...
..... ili tu IWE KUNA ushahidi PANZI asiye na MANYOYA,.....
... chini ya MANYOYA kachubuka ,...
.... ili tu KIUSHAHIDI iwe wazi kwa kuwa INAONEKANA  kwa macho kuwa PANZI ni MJERUHIWA basi KAJERUHIWA!:-(



Swali:
  • Unafikiri sio kweli kuwa kwa ABAKWAYE kikweli -sio mpaka KIKWELI kuwe na waitwao wataalamu huhitajika  hata katika hilo ili tutofautishe aliyebakwa na aliyekubali mwenyewe mtalimbo hivyo hajachubuka hata kama kuna KUKU wenye nyuchi PANA ambao kubakwa kwao na mwenye  mtalimbo  sindano  huwa hakuna USHAHIDI hata KIBATA ambaye kimtalimbo yuko kistaili ya MNYOO?
  • SI ACHUBUKAYE hata kwa KUDHALILISHA KWANGU MTU - si ni SI  lazima KIKUCHUBUKA kuwe na alama IONEKANAYO kwa mimacho au tu ki tutegemeavyo?



Na kwa kuwa ,...
.... YASEMEKANA majeruhi wengi MAJERUHI YAO huwa YANATAFUTWA KWA DARUBINI ya MACHO kisa watakao uthibitisho wana MACHO,...
.......labda ikumbukwe tu MICHUBUKO yao  WENGI WENGINE huwa  haihitaji DARUBINI ili aliyejeruhiwa AWE AMEJERUHIWA NA HATA KAULI YAKO YENYE HARUFU MBAYA  ili TUTHIBITISHE kiuhaueni wa KUJERUHIWA kachubuliwa TU kimjeruho ,...
.... kwa hiyo KAJERUHIWA!:-(


Swali:

  • Si unakumbuka kuwa labda kwa kulamba STEMPU huwa umeijeruhi STEMPU kama kidarubini kabla hujagandisha stempu kwenye BAHASHA yenye BARUA YAKO nzuri kwa MPENZI -bado STEPU imekwaruzwa na liulimmi lako na kwa hiyo ni stempu nlabda tayari ni  MAJERUHI?


Ndio,...
....na KUJERUHIWA kwako hata kwa KUNG'Ong'wa,...
... na kugeuke kuwa BARAKA kwako MKUU!





Ni hilo tu MHESHIMIWA!
Na ni wazo tu hili MUKULU!


Hebu Eddy Grant arudishe ya -VILLAGE LIFE





Au tu Mkuu Eddy Grant azime tu tena kwa ya - Frontline


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP