Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

LABDA jaribu UNACHOOGOPA, fanya uogopacho kama nia ni KUKUZA Ujasiri WAKO!

>> Tuesday, May 29, 2012

Ndio LABDA,...
.... siri kubwa ya kutofanikiwa KITU ni kutojaribu,....
......kisa UNAOGOPA.

Swali:
  • Si unajua hapa siongelei NANILII?


Ndio,...
..... kama unataka UWE shujaa wa YAKO kiwewewewe,...
.... labda ACHA KUOGOPA,...
.... hasa kwa kuwa vingi viogopwavyo wala haviui,...
.... sana sana vinakupa tu NGUVU na UJASIRI wa KUISHI kama wewe -kiwewewewe bila KUOGOPA MTU wala KITU,....
.... ambacho labda ndicho kisa kuna MAMBO muhimu kwako HUFANYI bado!

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Nakutakia SIKU NJEMA!Hebu ORCHESTRA MAKASSY warudie-MAMBO BADO

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:58 am  

Ulichosema hapa ni kuweli tu UJASIRI...Na kuna wakati unaweza ukajigamba kuwa ulitaka kweli kufanya kitu fulani ila kutokana na uwoga-----

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP