Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa ajuaye SEHEMU yasemekana barabara yake KUU ni UCHOCHORO!

>> Monday, May 21, 2012

Ndio,...
.... Labda katika YA MAISHA kuna njia nyingi,....
... ingawa  zote ni NJIA,...
... ila njia nyingine hufikisha hata bundi waendako MAPEMA!:-(


Swali:
  • AU?

LAKINI yasemekana hata kama UCHOCHORO hufikisha mtu MAPEMA,...
..... bado UCHOCHORO sio BARABARA kuu,....
...... hasa kama kitafsiri kwako bado huo ni UCHOCHORO,...
.... ingawa UCHOCHORO unaweza kuugeuza akilini uwe ni BARABARA KUU!:-(

Swali:
  • Lakini kwani unafikiri kama unaenda MAHALI ujanja ni kufika mahali MAPEMA hata KIUTAMU?
  • Na si kuna sehemu barabara ifikishayo NI MOJA na   ingawa ni BARABARA kwa wengine , hiyo bado si niuchochoro tu kwa MWINGINE?
  • Na UCHOCHORO kwa MENDE- si kwa SISIMIZI ni bonge la haiwei?


Ndio,...
.... labda MAISHANI kuna njia NYINGI,...
.... ingawa   kwa WAJANJA bado ni UJANJA kutofika MAPEMA hata KIUTAMU ,...
.... na KWAO njia NZURI wala sio UCHOCHORO!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Jumatatu NJEMA Njemba au tu ewe KIGOLI!


Hebu tubadili na kulalamikia tena JUMATATU kwa msaada wa SNOW katika LONELY MONDAY MORNINGHalafu tu hebu Lagbaja  aingilie kati kwa -Konko Bellow

Lagbaja aongezee-Skentele Skontolo
Au tu Lagbaja azime kwa- Feyin' E2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:34 pm  

DuH! Simon huo wimbo wa lonely Monday Morning mbona unaumiza sana Roho:-(

Simon Kitururu 1:27 am  

Pole mtu wangu!@Dada Yasinta!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP