Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa KUWA kuna matatizo yaletwayo hata na KUSHIBA!

>> Saturday, May 26, 2012

Ndio,...
....wenye NJAA yasemekana  wanamatatizo yao,...
.... ila  kuna matatizo kibao yaletwayo na WALIOSHIBA kisa wameshiba ,...
.... kwa hiyo njaa KWAO  sio tatizo na inabidi watunge tatizo jingine hasa kwa kuwa,...
.... CHAKULA wanacho, NYUMBA wanazo, MTOMBO garantiidi, WAWASUJUDIAO wanao,....
... basi inabidi tu watunge TATIZO!:-(

Swali:
  • AU?
  • Kwani ulifikiri tatizo la kushiba ni MTU kujisikia tu KULALA?
Ndio,...
... na yasemekana BINADAMU akishatibu KITU,....
... huwa anamchezo wa kutafuta CHAKUTIBU hata ili tu angalau ajisikie yuko HAI!:-(

Swali:
  • Kwani unauhakika KUWA  hua huhitaji tatizo jipya kisa umemaliza KUTATUA lililopita?
Ndio,...
... tatua tatizo,...
... ila kumbuka labda TATIZO hilo ndilo likupalo sababu za kuamka  ASUBUHI,...
... ukilisawazisha ,....
.... waweza kujikuta unahamu na TATIZO jingine kitu kisemekanao kufanya WATU wengi KILUKUKI tu YANI ,....
...mpaka kujitungia MATATIZO mapya YANI!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!


Hebu tubadili ,...
.....kwa msaada wa Cocoa Tea na Cutty Ranks katika :
- Waiting In Vain

 


Au tu COCOA TEA ajaribu kuzima kwa-HURRY UP and COME!

Halafu huyuhuyu COCOA TEA ,.....
......akiwa na BUJU Banton wazime kwa-TOO YOUNG

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:24 pm  

Nimecheka! Jumamosi njema Kadoda wa mimi!!:-)

Rachel siwa Isaac 11:18 pm  

Asante kwa Wazo kaka wa mimi Kadoda!!!OOHH OOHH Jamani Binadamu Hatosheki hata ukimpanini Milele Hatoridhika eeehh.......

Mashairi hayo!

wenu Kachiki!!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP