Kuhusu kipaji cha KUNYANYAPAA asiye na UKIMWI kisa ETI sio MALAYA vizuri!
>> Wednesday, May 23, 2012
Ndio,...
..... labda ukichunguza ,...
.... sio tu wenye UKIMWI ndio wanaodili na MNYANYAPAO!:-(
Swali:
- Si si lazima aliyekaa vibaya KWA BAHATI MBAYA ikastukiwa UREMBO wa chupi yake ni UZEE au UCHAFU -ndio tu maswala ya chupi yake- ndio TU yaanzishe mjadala wa kumfanya ajisikie KATENGWA?
- Lakini UMESTUKIA jamii ya WASTAARABU ile ya WATANZANIA ambayo hudai hata matusi haitaki kustukia - bado inaongoza kwa kutenga WAATHIRIKA - na hapa wala sigusii MAALIBINO?
Ndio,...
... labda kuna MTU una MNYANYAPAA bila hata kujua,...
... kisa tu ,...
... UNAMTENGA kwa sababu zako tu hata zile ZA kuwa hata KIPOMBE yeye sio MLOKOLE INAFU- na kiukarimu hata wa UJI yeye kwa kugawagawa kisa ni mkarimu ,...... basi huo ni UMALAYA!:-(
Swali:
AU?
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Ndio naenda leo kuwadeku Ladysmith Black Mambazo ....
....hebu waanzishe - Hello My Baby
Au wajaribu kuzima kwa -Homeless
Au tu na Paul Simon wazime kwa -Diamonds On The Soles Of Her Shoes
Au tu hebu tubadili KIDOGO katika majaribio ya KULAINISHA kwa kumsikiliza Asathecomic katika -Will Smith SLAPS Reporter for Kiss!
:
Hebu tupate picha za Ladysmith Black Mambazo
Hebu tupate picha za Ladysmith Black Mambazo
wakati nikiwa nao SEHEMU SEHEMU
3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Bonge la kumbukumbu kukutana na kitu/mtu umpendaye/unayezipenda kazi zake. HONGEZA!
Bonge la kumbukumbu kukutana na kitu/mtu umpendaye/unayezipenda kazi zake. HONGEZA!
Sio "HONGEZA" NI HONGERA
Post a Comment