Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Chakula cha Mawazo! -Yote Maisha?

>> Friday, July 13, 2007


Hivi kama unapata ulaji ,hata kwa kufanya mambo yakudhalilishayo , kuna noma?
Hebu mcheki huyu mkongo achongaye vinyago vya Tintin ingawa anaamini kuwa Tintin ilikuwa inadhalilisha Watu weusi.
Swali:
Si unakumbuka katika Tintin, Nyani na watu weusi walikuwa wanachorwa sawa?


Sasaa...
Unasemaje kuhusu hawa akina kaka ambao hawajulikani kama wasenge , wishio nakujulikana kama Ma -EUnuchs wa India?


Duh!
Basi bwana!
Pata sura za Waafrika wa Afrika.
AU?

12 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 3:19 pm  

Umesema michoro ya tintin weusi wakawa weusi kweli...wakumbuka akina asterix na obelix...midomo myekundu juu yake...kuna kitabu kimoja kinaitwa " the invisibles... a tale of the enuchs of India" kimeandikwa na Zia Jaffery...zungumza vizuri nikutumie:) ..hali ya kuzoeana.

Simon Kitururu 4:00 pm  

@Serina:Sijakisoma hicho kitabu ila nimekisikia.Nitumie:-)Halafu nakuja mjini kwako hivi karibuni.

Simon Kitururu 4:00 pm  

@Serina:Nakumbuka asterix na obelix:-(

Anonymous 6:24 pm  

sisi tupo tu...wakaribishwa...lini wafika? mji upi?

Simon Kitururu 6:50 pm  

@Serina:Gothenburg.Au wewe uko wapi?Nafika muda si mrefu.Naomba e-mail yako basi, ili nnisimwage mchele kwenye kuku wengi.

luihamu 7:05 pm  

Greetings MAN.
Habari Mzee,Katibu Simon
unajuwa lazima nianze kwa jina la Mzee kwasababu niheshima kwako,AU?


AMANI MZEE.

luihamu 7:11 pm  

Mzee,picha safi sana,sasa jaribu kuiweka poa ili ifiti katika blogu yako.

Simon Kitururu 7:13 pm  

@Rasta:Duh!LAkini Mzee hapa napoandika yale maswala ya JUMUWATA nayaendeleza.Usistuke sana inachelewa kidogo.Katiba na maswala fulani yanachukua muda kidogo kujenga Skeletoni yake.Naivisha skeletoni halafu tujazie Nyama.
Lakini heshima ya kuitwa Mzee, sinaUhakika.

luihamu 7:28 pm  

Poa Mzee Simon,ivisha mambo kwani nasubiri kwahamu,kila kukicha hata kama nimebanwa na kazi lazima nitembelee JUMUWATA.

Mawazo yako na mavazi yako yanakupa jina la Mzee Katibu Simon,AU


peace peace man.

luihamu 7:30 pm  

Picha imetulia sasa.MZEE KATIBU SIMON.

Simon Kitururu 6:06 am  

@:Rasta Luhiamu:Duh!

Simon Kitururu 6:07 am  

Duh!!Nimekosea jina hapo juu Rasta Luihamu.Samahani!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP