Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Jamii Ina Tabia Mbaya.UKIFANIKIWA UTAsameHEWA!

>> Tuesday, July 10, 2007

Mbwa wee , Sura kama kinyesi!
Matusi ni kitu cha ajabu. Mara nyingi tusi likuuamalo, halina maana. Ukifikiria kidogo unaweza kujicheka kwa kuchukia.
Kabla sija sema...
Mpate Maxwell Vidima..

Jamii inatabia mbaya!
Katika jicho la jamii , ukiwa umefanikiwa, waweza kusamehewa hata yale unayostahili kulaumiwa.
DONDOO:
Unamkumbuka Mwalimu NYERERE?
Watatokea katika jamii ambao hata huwajui kukutetea , kama jichoni mwao unawakilisha mafanikio.

  • Pamoja na nia yako nzuri , ukifeli kufanikisha ambayo, ambacho, jamiii inayahusudu , kuyategemea kutoka kwako,......USISHANGAE KULAUMIWA hata kama HAYA KUHUSU!

DUH!
Usimaindi sana , niko mawazoni tu!

Ngojea niache baazi ya picha za wiki hii..
Lakini kabla ya picha ....!
Tulia kidogo na Kassav...

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Kukuruuuu Njiwa
Endeleza lakini!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
J.Karjalainen na...

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Eeh Bwana!

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Duh!

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Mapenzi ya Somalia na Eritrea

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Sasaaaa
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Duh!

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Bup .Mzee wa Sauzi Sudan

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
David

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Bup na David

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
David eeh?

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Nikipigwa picha kwa simu

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Sasaaa...

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Duh!

Samahani lakini!Kulikuwa na Mlonda Mlangoni lakini...
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Jukka eeh!Asante!

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Sasaaa!

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Duh!
Sasa ngojea usikie nayemsikiliza sasa hivi wakati naandika.
Ni Mzee wa Tanzania , maarufu kwa jina la DULLY SYKES.

Ee bwana ee! Ni jina lake...
Msikilize basi ...

Mtimkubwa, Manento........, Nakumbuka!

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 6:12 pm  

Msalimie David....

Simon Kitururu 3:05 am  

@Isae:Hata kabla sijasema naamini salam zako zimefika.
Duh!Kumbe huwa unanipitia huku chobisi!:-)

Anonymous 1:11 pm  

Isae, ninakuja Dublin mwisho wa mwezi huu. Nitakutafuta.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP