Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Haja Kubwa!

>> Saturday, July 21, 2007

Mahitaji yana mambo yake!Umuhimu wa haja kubwa na ndogo, inategemea na kasheshe ikuleteayo mshawasha katika muda.Haja ndogo ni kubwa kama umebanwa.Na kama unapata haja, inamaanisha umekula au kunywa.
Duh!Sijui kwanini nakumbushia mambo yaliyo wazi , ambayo haihitaji kukumbushwa wala...
Au?
Swali:
Hivi ukikumbushwa ulijualo ni noma?

Ngojea ni jaribu basi kukukumbusha ulijualo.
Unamkumbuka Mungu?
DUH!
Hebu tumcheki kidogo kwa jicho la Professor Robert Winston

Ngojea nikuache na picha za jana basi!

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Mimi

Mzee Adam
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Edo na Peter
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Peter na Mimi
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Mimi na Dr Mtafungwa
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
India Arie
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
India Arie ehh!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Duh!

Mimi na Edo tukiburudishwa na India Arie..
Ngojea umsikilize kidogo..

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Zubeda na Mimi
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Kenya na Tanzania
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Cuba,Tanzania,Tanzania,Brazil
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Redrama
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Redrama eeh!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
The Roots Kazini
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Q'love eeh?
Wapate basi kidogo The roots waliotuburudisha jana wakiwa na Jill Scott

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Maswala ya Sly na Familly Stone

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Sly

Jioni
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Jioniiii!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Usiku
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Simon leo safarini
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Simon eeh?
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Duh!
Mpate basi Sly na Familly..

Basi nimestukia kuwa nimeweka kideo cha zamani sana!
Samahani lakini! Napenda Arrested Development

walivyochezea kibao cha Sly kiitwacho People Everyday..
kisikilize basi....

Jumamosi Njema!

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 7:24 pm  

Vitu nane kukuhusu tusizozijua Simon...

Simon Kitururu 4:36 am  

@Serina:Vitu nane mbona vingi?:-)
1.Katika mitihani yangu yote shuleni, nilichowahi kufeli ni somo la lugha ya kiswahili.
2.Ningependa kuwa mrefu zaidi ya nilivyo.
3.Sipendi kunywa maziwa
4.Sipendi kusherehekea birthdays
5.I talk too much, ingawa nasifa ya ukimya.
6. Siamini katika dini yoyote, ingawa naamini Mungu
7.Mvivu kula
8.Mvivu kupanga nguo kabatini

.......
Kuna mengi watu hawajui kuhusu mimi ingawa wanahisi wanajua.Naweza kuendelea mpaka kesho kutwa......:-)

Anonymous 2:32 am  

mimi ninavyohisi wewe simon hupendi ndizi za kupika,unaakili sana hata kiswahili hujawahi kufeli.siongezei maneno lakini kwakweli mimi nasikitika kusema kwamba saa zingine nilikuonea wivu.

simon unachagua sana chakula sasa katika sifa hizo nane naomba uongezee hizi mbili kuwa wewe ni mchaguzi wa chakula hasa ndizi za kupika,pia unaakili sana hata ukiwa unasoma huwa unasikiliza rege music.
duuh

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP