Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tarehe na imani za ajabu!

>> Saturday, July 07, 2007


Hivi Kalenda si ziko nyingi?
Lakini je ni ukweli kuwa kwa kalenda tuzifuatazo.Tarehe fulani zina mambo zaidi ya tarehe nyingine?

Lakini ......
Nafikiri una kumbuka kuwa hii kalenda tuifuatayo ni moja wapo tu ya kalenda nyingi duniani.

  • Si Unakumbuka kwa kiislamu huu sio mwaka 2007?
  • Si unakumbuka kwa kiIthiopia huu sio mwaka 2007
  • Si una kumbuka kwa........
DUH!
Tarehe hii ya 07.07.07 watu kibao wamejaribu kuoana, kutengeneza watoto, ku.....
Duh!
Lakinni mdau wangu Ronaldo , aka Mdau wa LONDON ilikuwa siku yake ya kuzaliwa.
Namuacha na picha fulani......
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Kuwasili...
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Ronaldo ,Mzee wa London

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Ronaldo eeh!

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Duh!

Samahani nilimisi pati fulani za chobisi.
Lakini ...

Tuko Pamoja!

Namuacha Steve Wonder aniwakilishe kukuambia Ronaldo!
Hapi Bethdei tu Yu!

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP