Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tamaduni za Uzinzi na EU!

>> Friday, July 06, 2007


Sisi wa Afrika na ....wale....
Si......

Tuna tamaduni ambazo mambo fulani ya maana......... ambayo tufundishanayo kuwa ni ya maaana..... na yajazayo Dunia...... si hatuyaongelei wala ku...au tu nayaongelea ingawa , tamaduni inakuwa mpaka....... ni wapi unatukana au wapi wewe ni mstaarabu unayejadili hoja ifundishayo au i.....?

Swali:
Hivi Ustaarabu ni nini?
Hivi matusi ni nini?

Najiuliza tu , au na wewe unajiuliza tu kuwa....................

  • Sisi WaAfrika na .... , si ndio mila zetu tunazitetea kila siku kuwa ndio zinazo tunza heshima?
  • Si ndio sisi tunadai au tuigao , wamagharibi( Waulaya, Marekani na....)kwa sababu mambo yao ndio tuonayo kuwa yameendelea?
Samahani lakini kama hunielewi !

Lakini ..............
Si binadamu wa kwanza aliyeanza kujifunza kufanya ya ubinadamu ,alitokea Afrika?

DUH..!
Samahani!

Dondooo:

Hivi unaweza kuamini kuwa sisi Waafrika, hata Wa........ , tumefikia kuamini kuwa maswala ya ngono , mapenzi, uzinzi , ni maswala ya sirisiri?
Si ndio maana tuna kufa ? Au?

Swali:
Hivi pamoja na utamaduni wetu wa kiafrika tuupendao, haya maswala kama ya ngono ya sababishayo tufe kwa UKIMWi , lakini yatupayo kale kastarehe ambako pia kampako mimba yule..................... , tukafumbie macho?

Usistuke !

Najiuliza tu!

Niko Mawazoni.

Hebu angalia Umoja wa Ulaya (EU)unavyotangaza jinsi gani maswala yao ya Movie za ulaya ni bomba.

Angalia lakini..........
Angalia tu kwanza kama umezidi miaka kumi na nane, halafu niambie!

Halafu jiulize kuwa hii kitu AU(African Union) ingetumia kutangaza maigizo (muvi aka kibira) za Afrika au Afrika mashariki kama hivi wafanyavyo wa Umoja wa Ulaya, Mheshimiwa wako(Mama na Baba na...) wangesemaje?
Tuko Pamoja
AU?

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP