Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KATIKA kupigania penzi, KAKA aliyempa mimba DADA yake, ameshindwa KESI.DUH!

>> Friday, March 14, 2008

Mapenzi mengine jamani, mie na ujanja wangu wote siyaelewi.

Swali:

  • Jinsi binadamu walivyo wengi, hivi kuna ulazima wa kaka kuzaa na dada yake au dada kuona katika wanaume wote, kaka yake mzazi ndio dume la mbegu?

Hii story ya huyu Mjerumani aliyemzalisha dada yake watoto wanne nilishaiandika mwaka jana.

Jamaa alifungwa kutokana na kuzaa na dada yake na akawa anapigania iruhusiwe kisheria kuwa ukimzimia nduguyo tumbo moja , mruhusiwe kuoana au kuzaa kisheria.

DUH!
Jikumbushe ile stori basi....




Jamaa kashindwa kesi, hivyo, anarudishwa jela tena.Ila jamaa kapenda kubwa kuliko. Anataka kupeleka kesi yake katika mahakama ya umoja wa ulaya ili wamsaidie aruhusiwe kuendeleza penzi na dada yake.

DUH!
Naacha basi!
Endeleza kufikiria mapenzi kwa kusikiliza ushahiri uitwao THIS TYPE LOVE wa Shihan

BAADAYE BASI!

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Innocent Kasyate 6:56 pm  

Aise, hiyo ni kali, kumtamani dada ni issue hasa hiyo.
\haya makubwa mzee.

Simon Kitururu 7:22 am  

Siutani Inno!Kazi kwelikweli!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP