Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KUHUSU VITU/TABASAMU/........ na nanihii FEKI!

>> Friday, March 14, 2008

NI KAUJUMBE tu Kadogo ka kukuanzishia WIKIENDI.

AU?

Sasaaa.......

U
kisikia kuwa asilimia themanini ya madawa ya tiba ndani ya Nigeria ni feki, unaweza ukafikiri kuwa Tanzania labda kuna unafuu kiasilimia fulani za ufeki wa madawa na tiba na.........

Vitu feki viko kila kona, kuanzia kule chooni , kanisani mpaka msikitini.

Siku hizi ukitaka mpaka FERRARI waweza kuipata feki.

Hebu cheki hapa

Soko la mapenzi feki,.....
Samahani, nilikuwa namaanisha soko la vitu feki, lipo sana kwa sababu wapendao na walazimikao kujaribu vitu feki wako bwelele.

Swali:

  • Ushawahi kunogewa na kitu feki hata kama kitu orijino unauwezo wakuki nanihii?
Lakiniiiii.....

Vitu feki vinamadhara yake!
Unaweza kufa kiaina kwa matumizi ya vitu feki.

Jiadhari basi wikiendi hii na watu feki!Samahani!Namaanisha jiadhari na vitu feki!
AU?

IJUMAA na WIKIENDI NJEMA!
TUKO PAMOJA!

Endeleza na Yvonne Chaka Chaka
akija na MAMALAND

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Unknown 8:35 pm  

Simon, your blog is so amazing! I love it!

Simon Kitururu 7:21 am  

Asante Teddy.

Anonymous 4:23 pm  

Hello. This post is likeable, and your blog is very interesting, congratulations :-). I will add in my blogroll =). If possible gives a last there on my blog, it is about the Home Theater, I hope you enjoy. The address is http://home-theater-brasil.blogspot.com. A hug.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP