Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ngojea Niseme!DUH!

>> Monday, March 24, 2008


Ngojea nikupe dondoo za yaliyonikuta..
Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket


Photobucket

Photobucket

Photobucket
DUH!

Kuna watu wananigombania kuhusu post zangu hapa katika blogu yangu kama vile nimewalazimisha wajekunichungulia hapa kinamna!:-(
Wanadai hawaelewi nasema nini.


DUH!
Malizia kidogo Pasaka na Manu DIBANGO akikupa kitu WOA!

12 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 2:39 pm  
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous 2:39 pm  
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous 2:53 pm  
This comment has been removed by a blog administrator.
Simon Kitururu 5:04 pm  

@Mliolalamika: Nimewaelewa. Samahani!Tuko Pamoja!Lakini mnajua nita delete chochote mnacho andika? Nimewaelewa lakini.

Egidio Ndabagoye 4:19 pm  

Dah,kazi ipo mkuu.TUpo pamoja

Simon Kitururu 6:04 pm  

@Mr Ndabagoye:Si utani Mkuu!Tuko Pamoja!

Anonymous 6:42 am  

mzee Simon,statement yako,nanukuu
Lakini mnajua nita delete chochote mnacho andika?mwisho wa nukuu.

Mzee Simon kama hawakutumia lugha chafu unahaki ya kutoa hilo tamko.

Nuff Nuff Respect.

Rasta hapa.

Anonymous 6:43 am  

Samahani kama umetumia lugha chafu unahaki ya kutoa hilo tamko.

Patrick G. Kamera 10:10 am  

Simon sijafika huku muda kiasi, naona blog imependeza si utani, kazi nzuri.

Simon Kitururu 12:13 pm  

@Patrick:Karibu tena Patrick!Tuko Pamoja!

Kibunango 2:32 pm  

Vipi ulivamiwa nini? Pole ndio mambo ya blog..

Simon Kitururu 2:37 pm  

@Kibunango:kunawatu siwafurahishi kinamna. Wanalalamika mpaka kwanini naandika neno DUH kila mara:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP