Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

USHAWAHI KUIANGALIA MAITI YA MBU?

>> Tuesday, March 25, 2008

Mbu hulalamikiwa wote!
Lakini si mbu wote wahitajio damu yako.

Staili za kumuua mbu ziko kibao.
Unaweza ukambinya.
AU?
Mbu aliyeuawa , maiti yake haiangaliwi sana.
Mara kwa mara baada ya kumuuambu, unasahau kuwa umeua, labda mpaka upate malaria ndio unajaribu kukumbuka baadhi ya maiti fulani za matunda.
SWALI:

  • Unanielewa?
DUH!
Usitishike!
ENDELEZA LIBENEKE!
Mpate lakini NASIBU MWANUKUZI aka RAS NAS akiwa na Ali Jabang na Aliou Cissokho wakiwa na MANDINGO TRIO

7 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 5:53 pm  

Mbu sijamtazama akiwa maututi:) na bado hueleweki!hehehe... Duh!

Simon Kitururu 5:58 pm  

@Serina:DUH!:-)

Anonymous 6:26 am  

Mzee Simon,habari za siku?
Mzee Simon kwa mtazamo wangu naweza kusema kifo cha mmbu ni sawasawa na kudeleate au kuondoa maoni ya anoy.katika blogu ya yeyote yule.Kutokukubali maoni ya anoy.si haki na kumuua mmbu si haki vilevile.Kwa imani ya Kirasta viumbe vyote vinaheshimika kwasababu ni kiumbe cha aliye hai.Naamini unahaki na blogu yako na ndugu zetu kama kina anoy.wanahaki katika kijiji chako.Nasema haya yote kwasababu nimepita hapa leo na kucheki jinsi gani umeondoa maoni ya anoy.nakuunga mkono kama wametumia lugha chafu lakini kama sio basi kati kuna wale wanakimbia vivuli vyao.

Mzee Simon RASTAFARIAN IS THE LORD AND SAVIOR.Nuff Nuff Respect.

Rasta hapa.

Anonymous 6:27 am  

Simon Kitururu 12:11 pm  

@Rasta:Nimekusikia.

Anonymous 2:47 pm  

unaeleweka mwana ila tuuu sijui hata hayo unayoandika unayatoa wapi wewe mtu, si mchezo hata mtu huwezi kufikiria kama utaandoka unayoandoka, tupo pamoja mwana hapa hapa

Simon Kitururu 3:17 pm  

@Anony:Asante Mkuu kwa kunielewa!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP