Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

STAREHE YA KUFUMANIWA!

>> Saturday, March 08, 2008

  • Kufumaniwa nishai!

Lakini ukifumaniwa, bonge la pumziko.
Unautua ule mzigo wa kale kasiri fulani.

AU?

Kuwa na siri nishai!
Siri bomba la mzigo.
Si unajua tena kale kamzigo ka kujaribu kufichaaaaaaaaaaaaaa!

DUH!

Kuficha bomba la kazi !
Hasa kama huendani na kale ufichako.

Siri yako ikigundulika bomba la noma!
Unaweza kugungulika unachamba kwa maji, kufukuzwa kazi, kuachika, au hata kunyimwa mishikaki pale kona fulani.

DUH!


Lakini.....

Siri bomba la kitu.

Swali:
  • Ushastukia ukifanya kijambo kisiri kuna kautamu fulani kanazidi kunoga?
  • Ushastukia kastarehe kakajambo kakisiri hupungua ukisharuhusiwa kufanya kale kalikokuwa ni siri wazi wazi?

DUH!

  • Ushastukia una siri?
Ushastukia una mpaka zile siri ambazo unajua watu wanajua ukweli kuwa unapenda iendelee kuwa siri?


DUH!

Msikilize kidogo Baba yake Cuba Gooding Jr, akiwa na band ya The Main Ingredient .Namaanisha, Cuba Gooding Sr akija na Everybody plays The fool.


Naacha!
Pata baadhi ya Picha.....:
Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Jumamosi Njema!

Au ngojea niseme basi:


Duh!
Endeleza Weekend na Safari Sound Band wakija na CHAKACHA

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Said Michael 4:59 pm  

Bora umerudi ulingoni Kamanda, tulikosa uhondo wa mada zako kwa muda. TUPO PAMOJA MKUU KANYAGA TWENDE

Simon Kitururu 10:29 am  

@COOL Said Michael!Tuko pamoja MKUU!Asante kwamba bado unanitembelea hapa kijiweni.

Unknown 8:46 pm  

Wait a minute Simon, umeshaanza kusahau kiswahili?Lol

Simon Kitururu 7:24 am  

@Teddy: DUH!:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP