Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UKISHANYIMWA!

>> Sunday, March 09, 2008

  • Ukinyimwa, hakuna ujanja zaidi ya kujaribu kutaka kuelewa na kukubali kuwa umenyimwa.


Ukinyimwa maana yake ulitaka.
Kama hutaki, ukinyimwa ni vigumu kukumbuka kuwa ulinyimwa.
Kama unataka , unaweza kukumbuka kona fulani ulipo nyimiwa.

DUH!

Swali:

  • Unakumbuka kuwa ushawahi kunyimwa?
Hebu sikiliza hii kitu kidogo amabayo nasikiliza sasa hivi kinamna.(Samahani! Sio kitu cha kujivunia anachosema huyu jamaa, lakini bado nasikiliza kinamna:-()





Cheki kidogo picha kadhaa fulani, za baadhi ya wadau niliowadaka kinamna sehemu sehemu fulani.

DUH!

Photobucket

Photobucket
Ronaldo aka Mzee wa London eehe!

Photobucket
Easy E eeh!Usinitenge lakini
Photobucket

Photobucket
T.I , sasa nini mchezo huu ulionza wa kunitenga?
Photobucket
WAX eeh! Sasa tutafanyaje?Hatukuchagua hii kitu:-)

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket
Raymond aka MKUU wa KIKAO, Kikao kigumu unajua usipotokea!Ilikuwa Ze GUDI lakini. AU?

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket


Lakiniiii........


Utundu wa kujua jinsi ya kujifanya hujanyimwa wakati umenyimwa, kila mtu anao.

Lakiniiii...........

..... wengine kiboko katika ujuzi wakujua hata maswala ya kutaka na kunyimwa.

DUH!
Endelea na Snoop Dogg kidogo wimbo uleule ambao sijivuniiii.(Samahani lakini!:-()




Swali :

  • Ushastukia watakao na wenye nguvu ya kuto ogopa kunyimwa, ndio wajaribuo , na ndio wapatao zaidi nanihii fulani?

DUH!

Endeleza Jumapili na I-Wayne

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 1:23 pm  

nimefurahi umerudi!

Simon Kitururu 2:07 pm  

@Kifimbocheza:Asante Mkuu!Asante kwamba bado unanitembelea.

Anonymous 4:45 pm  

karibu tena.Maandishi yako yataka kukaa chini(labda na shati uvue)halafu usome taratibu.tunakubali,ila ulikuwa wapi hebu tueleze mkuu!

Simon Kitururu 8:21 pm  

@Ras:DUH!:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP