Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tuko Pamoja!

>> Friday, October 05, 2007

Nakukumbusha tu hili swala....

Ngojea nirudie kusema...


Duh!
Ngojea niache kukuzingua!:-)

Wiki Mwisho njema!

Badili kidogo mawazo kwa wimbo Dr Kitch ,ambao wadau kadhaa wa blogu hii waliomba niurudie kama ulivyopigwa na Marehemu Lord Kitchener


Nimekusikia mdau uliyestukia kuwa mara ya kwanza nilikuwa nimemposti Craig Mack hapa. Nimemrudisha...huyooo...

8 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Egidio Ndabagoye 9:13 am  

Weekend njema.Pamoja

Simon Kitururu 2:44 pm  

@Egdio:Tuko pamoja Mkuu!

Anonymous 7:42 pm  

Kwa kukandamizia tu hapo, mwisho wa wiki si ndio mwanzo wa wiki au sio mkuu! Ofkoooz huku Bongo tunaimaliza wiki hii kwa mawaziri wetu kuzomewa katika ziara zao! Vipi huko mamtoni wenzetu?

Simon Kitururu 8:18 pm  

@Said Michael: Hapo lazima upate mchoro wa kufikisha ujumbe fulani, kutokana na ziara hizo za ulaji.

Huku hakuna jipya, zaidi ya wajanja wa huku kujiweka sawasawa kutunyonya huko zaidi.
Tuko Pamoja Mkuu!

Pius Ntwale 12:33 pm  

Karibu unitembelee braza Kitutruru, www.piusntwale.blogspot.com

Simon Kitururu 3:32 pm  

@Pius: Tuko Pamoja!

Anonymous 3:40 pm  

Hi.Kaka
Hongera kwa kuelemisha jamii kupitia blog nimeipitia mada zako nanimezikubali.Keep it up
Tchao!

Simon Kitururu 5:16 pm  

@Happiness:Asante Dada Happy!Pale kwako mimi hua sikosi.Naizimia sana kazi yako. Tuko Pamoja!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP