Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UNAPOISHI MBALI na NDUGU, JAMAA na MARAFIKI

>> Monday, October 01, 2007


.......Ukiota ndoto mbaya tu,

.....Inakutesa sana, kutokana na kutaka kujua ni nini tena kimetokea kwa ndugu, jamaa au marafiki, usiowaona.

Utanyong'onyea kubwa kuliko, hasa katika kipindi kile mshahara wote umeishia kwenye kulipa madeni, halafu inaonyesha ni lazima usafiri kwenda sehemu, halafu dili fulani limekukwepa.


Kuishi mbali na ndugu ,jamaa na marafiki,

.......................pamoja na kutumia utundu wote,
lazima ujisikie mpweke muda kadha wa kadha, usipoangalia, upweke utakutawala muda wote.

(Dondoo:
Si unakumbuka unaweza kuwa mpweke wakati umezungukwa na wadau?)

Ukiwa Kimya,

...... inawezekana ikawa na tafsiri nyingi.

Lakini....

Isirukwe moja , isemayo UKO KIMYA TU, lakini, MAPENZI yako kwa NDUGU, JAMAA na MARAFIKI, yako pale pale.

SIKU NJEMA NDUGU,JAMAA, MARAFIKI na WENGINE wote!

Tulia na wimbo wa Sammy Davis Jr

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP