Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MCHEZO wa KUMIMBISHA au kupewa MIMBA!

>> Sunday, September 30, 2007

Swali:

  • Hivi unamjua mtu aliyepewa mimba?
  • Hivi nani anaamini kuna mtu anaweza kupewa hako kakitu?
  • Unajua nini maana ya kumpa na ni nini kinatumika kumpa yule.......?

Mwenye SAUTI KUBWA anaMIMBISHA mara NYINGI , ndio isemekavyo!

DUH!

Sijui ingekuwa mwanadada, ndiye anayeandika huu upuuzi, angesema kuwa mwenye sauti nyororo ,ndio anamimbishwa kirahisi?

AU?
  • Inasemekana wanaume wenye watoto wengi , wanakibezi!

Cheki hii stori ya wa Tanzania wa kabila la HADZA
, kabla hujaanza kunibishia.

Tuhame kwenye .... turudi kwenye sauti.....

Mwenye sauti kubwa asiposikika, atakuumiza masikio au kukusumbua.
Mnyonge mwenye kujaribu kusikika, ana uwezo wa kutatua katika anga fulani kuliko ambaye , anangojea huruma ya KIKWETE.

DONDOO:
Umestukia jinsi wenye sauti wanavyosikika kuliko WANYONGE?


Mpate huyu mchaga , aitwaye PITA TESHA. kabla sija kuacha na baadhi zangu kidizaini.






Wapate wadau wangu fulani wachezao timu ndogo..



Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Waangalie lakini wakiwa angazao...


Samahani kwa picha ifuatayo kama umefunga.

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Tuendelee!
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
DUh!
Naacha basi!
Endelea na Peter tosh!

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Unknown 8:47 am  

Kwa upande wa sauti; ni kweli mwenye sauti kubwa ndo mwenye kummimbisha Mwenye sauti nyororo.

Lakini kuna Wanadada wana sauti kubwa kuliko wenzi wao, Je, wao ndo watawapa hako kakitu waume zao?

Mi nadhani sauti haijalishi, bali ni kale ka-kifaa kanakotumika kubebeshea Mimba.

AU?

Tuko Pamoja.

Simon Kitururu 5:26 pm  

@FEDE: :-)

luihamu 7:21 pm  

Mzee simon samahani,huwezi kusema unatuacha na NABII PETER TOSH HUKU UMEONYESHA MVIONYO AMBAO SISI WAUMINI WA NABII PETER TOSH TUNAUPINGA VIKALI.

NABII PETER TOSH HAKUWAHI KUTUMIA HUO MVINYO.

Simon Kitururu 3:39 pm  

@Rasta:Luihamu!DUh!Kila mtu na mtazamo wake!
Unajua Yesu alikuwa anatengeneza Mvinyo?

Anonymous 6:26 am  

[url=http://community.bsu.edu/members/buy+online+Viagra.aspx]buy cheap Viagra without prescription[/url]

[url=http://eterporno.ru/seks-znakomstva-v-tobolske.php]секс знакомства в тобольске[/url]
[url=http://eterporno.ru/prostitutki-mulatki-negrityanki.php]проститутки мулатки негритянки[/url]

[url=http://pc.eterporno.ru/poznakomlus-s-semeynoy-paroy.php]познакомлюсь с семейной парой[/url]
[url=http://pc.eterporno.ru/putany-g-permi.php]путаны г перми[/url]

[url=http://pv.eterporno.ru/seks-partnera-ischu.php]секс партнера ищу[/url]
[url=http://pv.eterporno.ru/murmanskie-shluhi.php]мурманские шлюхи[/url]

[url=http://px.eterporno.ru/dvorovaya-shluha.php]дворовая шлюха[/url]
[url=http://px.eterporno.ru/g-marks-znakomstva.php]г маркс знакомства[/url]

[url=http://pz.eterporno.ru/ulichnye-prostitutki-pitera.php]уличные проститутки питера[/url]
[url=http://pz.eterporno.ru/sayt-znakomstva-moskva.php]сайт знакомства Москва[/url]
[url=http://pz.eterporno.ru/blyadi-chelnov.php]бляди челнов[/url]

Anonymous 8:59 am  

mita olin etsimassa, kiitos

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP