Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Pitia katika Ukurasa wa JUMUWATA!

>> Wednesday, September 12, 2007

JUMUWATA iko jikoni ingawa mambo fulani yanaweza kutafsiriwa kuwa yamechelewa kwa tafsiri fulani.
Aggregator iko jikoni ,Katiba na kila kitu.
Lakini pitia kwenye JUMUWATA upate muelekeo wake.
Sijapandisha kitu kizima.Lakini nilichopandisha unaweza kuchangia na kujua muelekeo.

Kemea, toa maoni,ongezea ,au ondoa mizinguo.....

Pitia hapa JUMUWATA basi!

DuH!

Kuna kawimbo lakini naendelea kukasikiliza.
Unapenda Lovers Rock?
Mpate Bobby Kray basi wakati una....

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP