Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UTAMUACHAJE MGENI PEKE YAKE?

>> Tuesday, September 25, 2007

Utamaduni ni kitu cha ajabu!
Unaweza kukufanya umchinjie mgeni kuku, ingawa huli kuku kama mgeni hatokei.

Nakubaliana na wewe,
...........kuhusu swala la ngojea mgeni aje ili mwenyeji ale kuku.

Ushastukia?

Siku nyingine......
.......unataka kuwa peke yako ingawa ......
mwenyeji wako anaamua kutokukutenga.

DUH!

Sasa utafanyaje?

Nauliza kwasababu, ukifika nyumbani kwa mtu , huyo mtu ana ..amini ,umeenda kwake kwa sababu ,ulitaka kwenda kwake.

Swali:

  • Hivi, unajua unaweza kwenda kwa mtu kwasababu anapika dagaa wa nyasa na si wa Kigoma?

Hivi , si,
.....unaweza kwenda kwa mshikaji, kwasababu hukutaka tu, kwenda kwako.......?

DUH!...

....(
Samahani sentensiYa juu ya SWALI, inaendelea...)

Unaweza kwenda ....
kutokana na kupendwa sana nyumbani,
,,,,,, kiasi chakupewa chakula kikubwa,,,,,,
ambacho hukihitaji siku hiyo?

Swali:
  • Unafikiri kupendwa ni kitu kizuri?

  • Hivi , chakula kikubwa ni nini?
Naacha!
Tulia basi na Maxwell

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP