Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

TAFADHALI! PIGA KURA KUISAIDIA KAZI ILENGAYO KUELIMISHA MATATIZO YA KINA MAMA na WATOTO

>> Saturday, September 29, 2007

HABARI!

Naomba ubonyeze hapa http://www.funsahara.co.uk/zafaa_2007_award_nominees.htm AU www.zafaa.com halafu bonyeza link ya NOMINATE HERE. Ukifunguka huo ukurasa naomba uende kwenye category ya BEST DOCUMENTARY FEATURE, pale kuna filamu tatu, ya kwetu (ya Watanzania) ni PLAY YOUR PART - TANZANIA. Naomba uipigie kura ili ishinde tuzo za African Academy Awards. Naomba uwaambie na watu wengine wengi.

SAMBAZA HABARI HII KABLA GIZA HALIJAINGIA. Filamu ya PLAY YOUR PART inapambana na Filamu kutoka Zambia na moja kutoka Uganda. Hadi sasa PLAY YOUR PART inaongoza kwa kura.

Tafadhali ongeza idadi ya kura zile ili kilio cha wakina mama na watoto wanaopoteza maisha kwa sababu ya afya mbaya ya uzazi kisikike zaidi.

PIGA KURA kwa PLAY YOUR PART Asante sana.

To the English Speaking Friends:

Please visit www.zafaa.com or http://www.funsahara.co.uk/zafaa_2007_award_nominees.htm and on the category "BEST DOCUMENTARY FEATURE" vote for the film "PLAY YOUR PART" from Tanzania. Your vote will add to the voice of the mothers and children who are fighting for the better maternal health.

Tuko Pamoja!

Bob Sankofa

www.mwenyemacho.wordpress.com

Tukiachana na Tangazo.

Mimi namsikiliza Bill Withers sasa hivi....
Wewe Je?

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Suojeluskunta suojaksi Suomenmaan 7:51 pm  
This comment has been removed by a blog administrator.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP