Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Haja Ndogo!

>> Thursday, September 20, 2007

Haja ni haja!
Nani kasema haja ndogo , udogo si neno
Haja ndogo na kubwa ni maneno
Umuhimu wake haupimiki kwa neno

Haja hupindisha msumeno
Msumeno uwekao butu meno

Haja kubwa na ndogo si neno
Ni kitendo kiwakilishwacho na neno
Lakini sauti upatiwazo katika uroda ni maneno.
Yasemayo hufiki, unafikia au naumia kutokana na yako meno.

Kuuma na kupulizia huhitaji nanihino
Lakini haja kubwa au ndogo huhitaji maneno
Ingawa chooni bado panono

Kama unahaja...
pata hata kama siye hautatupatia neno
........................................



Usistuke usiponielewa!

Nakuacha na Erykah Badu na Blues Brothers Band

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

KKMie 8:27 pm  

Hahahahaha! Nice one!
Sauti za kwenye kungonoana(Uroda) sometimes au niseme kabla hujakolea huwa sio maneno ni sauti za jabu-ajabu tu ila ikikokiwa ndio hapo utakapo patiwa mashairi sasa.....alafu unamalizia na sauti za ajabu-ajabu tena kabla ya kurudi Duniani.

Kazi bomba Si!

Simon Kitururu 3:27 am  

@Dinah!DUH! ....:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP