Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

USISAHAU KUPITIA KATIKA JUMUWATA!

>> Tuesday, September 18, 2007

Tunaomba usisahau kupitia JUMUWATA kuchangia, kukosoa,kukemea,kushauri,kuondoa, kusogeza....ilikuchangia muelekeo wa Jumuiya ya wanablogu Tanzania.

Mchango wako unahitajika wewe mwenye blogu na hata usiye na blogu ilikujenga muelekeo uliochangiwa na wengi na sio kikundi cha watu wachache.

Kama unablogu tunaomba uweke tangazo hili ili liwezekuwafikia watu wengi.

KARIBUNI WOTE!
Uongozi.

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP