Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Aliko alizaliwa Jana!

>> Sunday, February 11, 2007

Duh! Nilisahau kuwa jana ilikuwa siku yako Aliko!Heri ya kuzaliwa!Aliko eeh !Mara nyingi watu hatusemi tufikiriavyo kuhusu watu wengine. Lakini ukiniuliza mimi nitasema ,.....
Wewe Bomba!

Nakutakia kila la heri Aliko!

Kama humjui mtafute kwenye picha hii niliyoichukua mwezi jana.









Hapa je?

Naamini umemstukia.













Ngoja nimuache Stevie Wonder na Gilberto Gil wanisaidie kuku.......

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Kibunango 4:47 pm  

Nilipata kuja kumuona Aliko katika sherehe yake!
Hata nilipofika Botini nikaambiwa upo ndani, nimekutafuta lakini sikufanikiwa kukuona!

Simon Kitururu 8:38 am  

@Kibunango: nilikimbia , nilikua na hatari ya kuzidisha maji kwenye unga:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP