Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hivi Ushawahi kufanya matusi?

>> Sunday, February 25, 2007


Kuhusu swala hili la kuhonga, mimi nakiri nishaonga sana.Si unajua yale maswala yakutaka kuwa mstari wa mbele!Au yale yakutaka mambo yawe rahisi zaidi kidogo!
Nilimsoma Ndesanjoaliposema tuanzie nyumbani katika kusawazisha mambo. Mimi naacha hii mambo.Mimi nimeaanza muda mrefu lakini hii kitu napenda nitangaze ,ni kona yingine naanza. Lakini kabla ya yote, nakiri katika hii rushwa na mimi nilishiriki kuisaidia kinamna. Wewe Je?
Tuache haya matusi basi!

AU?
Au ulifikiri matusi ni nini?

Tuendeleze wikiendi. Namuacha Barrington Levy akikupa Murderer

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Unknown 3:17 pm  

hicho kichwa cha habari kimekaa kimtindo fulani!

Anonymous 3:16 pm  

Simon, sasa hii video umeniwekea mimi. Wimbo huu utakuwa kichwani siku nzima. Tena ngoja niingie youtube kucheki video zake zaidi.

Anonymous 3:16 pm  

Simon, sasa hii video umeniwekea mimi. Wimbo huu utakuwa kichwani siku nzima. Tena ngoja niingie youtube kucheki video zake zaidi.

Mikundu Matako Makalio Manundu 12:27 am  
This comment has been removed by a blog administrator.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP