Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tufurahi ingawa tunamatatizo!

>> Friday, February 09, 2007

Wikiendi hii Uko na umpendao?
Mimi nahisi sijawahi kupenda bado.Nikisema hivyo, usichanganye na kuhisi kwamba mimi mpweke!

Duh !Ushastukia matatizo hayaishi?

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Simon Kitururu 12:29 pm  

Miriam ,kama utasoma hapa jua kuwa napata tabu kuacha komenti kwenye blogu yako.Sijui ni mimi tu au ni mimi mwenye bahati mbaya!

Real Adventure Safaris 2:42 pm  

Hello Sir Kitururu. Mambo vipi. Kweli wikiendi imeanza na kupenda bado. Aisee mimi ndo hivyoooo mgeni kwenye jumuiya ya BLOG. Niko najirusha kwenye mambo ya mtandao wa utalii nikawa nimeongea na rafiki yangu rasta basi naye kanipeleka kwenye ulimwengu wa blog. Nimefurahi sana na naamini kupitia hapa mtandao utaongezeka. kwa leo naishia hapa nikitarajia tutawasiliana mara kwa mara. Amenijulisha pia kuwa uko Swedeni nikafurahi maana nilishakaa hapo mtaani kwa miezi kadhaa miaka ya karibuni. Najua sasa hivi baridi kama kawa. Basi kila la heri nisijeanza hadithi zingine nyingi.

URL yangu ni: www.realadventure-ltd.blogspot.com, www.realadventuresafaris.com

Simon Kitururu 12:07 am  

Real eeh?Tukopamoja!Nishafika kiwanjani kwako.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP