Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hivi unatafuta maisha eeh?

>> Sunday, February 11, 2007


Hivi ukishazaliwa si maana yake unaishi?
Au?
Unatafuta maisha eeh?
Duh !Hapa nilipo kuna baridi!


Lakini maisha magumu!

Halafu pesa hii inayosemekana ni sabuni ya roho nishai kweli!
Lakini ngojea Pink Floyd waongee.....

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

david santos 12:54 am  

Helo!
Very good
Tank you
Congratulations

Egidio Ndabagoye 9:23 pm  

Imeandikwa "...asiyefanya kazi na asile..."
Hizo ndio Ngwala zenyewe kaka ukitaka maisha bora sio bora maisha sharti ugangamale.

Egidio Ndabagoye 9:27 pm  

Maisha yakiwa magumu sana unatuliza na RS muulize Kibunango anaijua

Simon Kitururu 11:44 pm  

Kibunango nisaidie hapa kuhusu iyo RS

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP