Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ushawahi kufikiria kuanzisha dini?

>> Thursday, February 15, 2007

Katika watu wanizinguao kwa jinsi wanavyoweza kushawishi na kujiamini hata katika yale mambo ambayo watu kibao huogopa, ni huyu mtu ajulikanaye kama Jose Luis de Jesus Miranda.

Huyu kapitiliza pale wahubiri wengine walipofikia. Yeye hujiita Yesu. Lakini anasema yeye ni zaidi ya Yesu. Yeye ni Mungu.

Kwa wale wanaoogopa kwenda Jehanamu, huyu dini yake bomba. Anasema hakuna dhambi.

Swali:
Unaogopa kukufuru eeh?

hebu msikilize....

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 4:45 pm  

Duu huyu mtu bingwa
aliko

Patrick G. Kamera 9:53 am  

Yaani mtu ukiibuka na chochote duniani utapata wateja tu...

Simon Kitururu 10:04 am  

@Patrick:Siutani, ni ukweli tupu ulichosema.

Simon Kitururu 10:15 am  

@Patrick:Karibu sana Mzee hapa kijiweni kwangu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP