Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

DHAMBI wakati wa KWARESMA bado ni TAMU nasikia!

>> Wednesday, February 22, 2012

Yasemekana,...

.... kuna waogopao WATU katika kutofanya DHAMBI,....
.... kuliko waogopavyo MUNGU awaonao mpaka CHOBISI wajifungiako ili kula ngoma!:-(



Swali:
  • Si yasemekana janja za WAUMINI ambao wanapenda kusifika  kwa BINADAMU wenzao janja ni kufanya dhambi makusudi kisirisiri ili wasidakwe tu hadharani?

Ndio,...
... kwa ambao wako katika KWARESMA,.......
....kumbukeni ni MUNGU wakuogopa na wala sio BINADAMU muhofiao vidole vyao HADHARANI kama nia bado nikuendeleza utamu wa DHAMBI!

MBARIKIWE SANA WOTE!
Na siku NJEMA WOTE!
AMEN!



Hebu Kwaya Kuu ya Mt. Cecilia warudie pini-Bwana Unaweza




Au tubadili tu na kurudi uswahilini ili SADE arudie-Feel No Pain




Au tu tena Vanessa Paradis azime kwa-Joe le taxi

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 4:14 pm  

Simon:-( halafu unajua nina salamu zako!!!

sam mbogo 4:36 pm  

maranyingi,sisi binaadam, ni viumbe vya ajabu sana,hasa katika imani zetu za kidini. kuna kuna kutowajibika kisaswasawa kutokana na imani zetu. ni kweli kwa hii kwaresma wengi hatuangalii mungu ndo mwenye jicho kali linalo angaza pande zote za dunia hii iliyo yake,badala yake eti unajificha ili Kitururu asikuone(mtakatifu). nakwambia mwisho wa dunia kwa sisi tunao amini itakuwa kasheshe kweli. asante mtakatifu kwa kutukumbusha.kaka s.

Mija Shija Sayi 12:23 am  

Hili kweli ni neno la kuanzia kwaresma..

Ubarikiwe kwa kutukumbusha.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP