Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwenu Blog mpya ya Rural and Urban

>> Wednesday, February 01, 2012

Kutembelea Libeneke hili JIPYA bofya hapa: http://www.mrs-ca.blogspot.com/

Heshima zenu Wadau wote!

Nilikuwa napenda Kuwatambulisha Kwenu Blog mpya ya Rural and Urban ambayo itakuwa ikizungumzia maisha hayo zaidi ya mjini na Vijijini. Karibuni sana ukiona Link hii mpatie na mwengine. Natanguliza Shukrani zangu asanteni.


-ESTER ULAYA.


Baada ya tamutamu hebu Bassekou Kouyate na Ngoni Ba waendelee....
Hebu tu tena na  Chuck Brown arudie tu na  -BUSTIN' LOOSE1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mcharia 4:20 pm  

Ahsante kwa taarifa ya hii ndude..nitapita kijiweni hapo kwanza.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP