Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Haya MABINGWAAAAA!!!!

>> Thursday, February 16, 2012

Labda kumbuka tu UBINGWA ni kipimo kisichojitegemea,....

...... na udhaifu wa UBINGWA ni kwa kuwa MTU hawi bingwa NG'O kama hakuna wakujishindanisha naye.
Swali:
  • Si umestukia husikii sana UBINGWA wa watu wafanyayo CHOONI hasa kwa kuwa watu wanamchezo wa kujifungia wakati wanafanikisha chooni?(tukiruka  wale ambao shughuli zao huacha harufu balaa kuliko wengine na waweza kustukia nani katoka msalani)

Ndio,...
.... KAMA weye BINGWA,....
.....kama tu ilivyo ikiwa wewe ni wakwanza DARASANI,...
..... jua BILA wengine HAKUNA  ushindi,....
...... kwa hiyo hata leo tujaribu WAJAMENI kukumbuka wengine hata KIUBWABWA!

Ni hilo tu!
Na ni wazo tu hili!
SIKU NJEMA MHESHIMIWA!


Hebu Kisombo aingilie kati kwa - Baila Morena

Kaysha arudie- One love

Sijui kwanini Kaysha aongezee- Something going onHalafu sijui kwanini hebu Solomon Burke azime tena kwa - Everybody Needs Somebody To Love (live)

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Rachel siwa Isaac 10:32 pm  

Ahsante kaka wamimi,jee wewe Bingwa? sijui na mimi nitakuwa/nitaweza Bingwa?Nawaza tuu........

Yasinta Ngonyani 10:07 am  

Nanukuu "...... na udhaifu wa UBINGWA ni kwa kuwa MTU hawi bingwa NG'O kama hakuna wakujishindanisha naye." Hata mie nataka kujua kama wewe Ni Bingwa?

chib 5:10 pm  

Mkuu upo!

SIMON KITURURU 12:00 am  

@Da Recho:Mie wala si BINGWA Dada yangu.Ila BIngwa nasikia ni bia tu BONGO kwa hiyo kuweza na kutoweza UBINGWA yategemea tu na malengo DADA wa MIMI.

@Da Yasinta:Mie sioBINGWA . Si wajua MME wako kashinda?

@Papaa CHIB:
Nipo Mkuu ! Mihangaiko tu aisee!

Yasinta Ngonyani 1:53 pm  

Mmmmhhh!!! Kumbe haya nimekuelewa...LABDA:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP