Yasemekana ADUI MKUBWA wa MAVI ni MAVI!
>> Wednesday, February 29, 2012
Na adui mkubwa WAKO,....
.... yasemekana ni WEWE mwenyewe!:-(
Swali:
- Si yasemekana ni WEWE MWENYEWE ndiye UJUAYE zaidi ya muhimu kwa WEWE na kiutekelezaji labda bado uyapayo UMUHIMU/KIPAUMBELE sio yako bali ya WALE wengine au angalau yale ambayo yana jicho la WASIO WEWE?
Ndio,...
.... katika YAKO,....
.....SHUGHULI ni yako hasa kwa kuwa ni WEWE mwenyewe ujuaye vizuri unasikiliziaje UTAMU,....
... au hata UCHUNGU.:-(Ni wazo tu hili MHESHIMIWA na wala USIKONDE ghafla!:-(
Hebu Ali Farka Toure na Toumani Diabate waanzishe upya kwa - Sabu Yerkoy
Au tu Pape Diouf azime kwa-Casse Casse
1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Duh! kazi ipo..kwa mimi hapa ni bonge la wazo pia shule..Usengwili bambu!
Post a Comment