Katika KUTONESHA kidonda!
>> Sunday, February 19, 2012
Katika KUTONESHA,...
.... labda MTONESHWAJI huweza FIKIRI ni tamu kama kajiandaa na MAUMIVU,...
.... na kama anajua kidonda chake kimaumivu kinaumaje na kuwa chake kidonda kwa ridhaa yake safari hii na wakati huu kita kuwa ni kidude amacho CHATONESHWA .:-(
Swali:
- Unabisha?
Ndio,....
.... MASWALA mengine labda ni ya KUJIPANGA,....
.... kwa kuwa KABLA ya umivu MTU akijua UMIVU laja,....
......labda MAUMIVU ni UTAMU.:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Bonge la wazo ...jumapili njema nawe pia
Asante Kapulya Mdadisi!
Post a Comment