Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KIDONDA eti ni nyumba ya USAHA!

>> Tuesday, February 28, 2012

Na ukichokonoa KIDONDA,...
..... waweza kutumbua usaha AMBAO kwa kawaida  usingeonekana!

Swali:
  • Si NI KWELI mambo mengine  labda usiyachimbe  undani basi kama hutaki kujua ubaya wake?

Ndio,...
.... labda vipele vingine viache tu vikauke vyenyewe,...
.... ukivibinyabinya utafurumua volkano za usaha ambao usingebinya ungekaukia mumo kwa mumo!

Ni neno tu na WAZO kiaina MHESHIMIWA!
Siku NJEMA MKUU!

Hebu MBILIA BEL na TABU LEY wakukumbushe  -SHAURI ZAKO
Au tu TONTO IRIE aingilie kati na kuzima tena kwa -IT a RINGNipo,..
... ndio ni TALLIN , Estonia.

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 5:41 pm  

Ni wazo la kiana lakini lina ujumbe wake. Ni kweli ulivyosema Ahsante kwa kukumbushana. Nimependa picha zake..Umipendeza:-)

Mija Shija Sayi 8:51 am  

Poleni kwa baridi Mtakatifu..ikla ni kweli Umipendeza sana.

Kidonda nyumba ya Usaha..Mbona ni kweli kabisa.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP