Jinsi ya KUPOPOA tunda!
>> Monday, February 06, 2012
TUNDA tamu,...
.... ila TUNDA labda ni TAMU kwa MPOPOAJI,...
.... kutokana na lilivyopopolewa TUNDA na MPOPOAJI!:-(
Swali.
- AU?
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Jumatatu NJEMA aisee!
Hebu tubugi dauni kwa kurudi tena HAITI ili Brother C atekenye-Tourbillon
Hapahapa HAITI hebu Brother's Posse wadinye-Stayle
Au tu T-MICKY aje laivu tena....
1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
"Jinsi ya kupopoa tunda" bonge la ujumbe....jumatatu njema nawe pia mtakatifu
Post a Comment