Kwa ATEGEMEAYE kidude cha MWENZIYE!
>> Saturday, February 18, 2012
TATIZO tu la KUTEGEMEA,...
.... ni kuwa nasikia TEGEMEO kirahisi huweza kubakia TEGEMEO tu,...
..... kwa kuwa UTEGEMEACHO hakitendeki kwa uhakika WAKO kwa kuwa KUTEGEMEA huhusisha watu wengine ,...... MTUZ nyingine kibinadamu hakuna asilimia mia za kujua utegemeacho kwao wanaweza kutekeleza hasa kwa kuwa labda nao ni WATEGEMEAJI.:-(
Swali:
- AU?
Na kwa kutegemea hasa kama una MALENGO fulani hata kama si yale ya kumtoa bikira mtu,....
.... LENGO hupungua UTAMU hata kama LITATEKELEZEKA kama ufikiaji LENGO LAKO unategemea MTU mwingine!:-(
Swali:
- AU?
- Na si katika KUTEGEMEA kuna wengi hata hawafikirii halihalisi ya WAMTEGEMEAYE?
- Si katika kutegemea kuna wengi katika YAO hutegemea MTU mwingine?
Ni wazo tu hili nalo MKUU!
Hebu BOB MALYA aingilie kati na kurudisha -Running Away
Halafu huyuhuyu BOB MALYA aje na GURU katika kujaribu kuzima kwa-JOHN was
Au tu azime huyuhuyu BOB Marley kwa-TIME will TELL
1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Simon Duh!
Post a Comment