Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika kumbukumbu: ANAOGOPA DUDU LISILO NA MACHO!

>> Sunday, February 19, 2012

Unakumbuka haka kawimbo:


Vua CHUPI!
SITAKI.

Lala CHINI!
SITAKI.

Naogopa DUDU lisilo na MACHOOOO!


Swali:
  • Unakumbuka mpaka nyimbo HIZI Mheshimiwa?
Ndio,...
.... nasikia HADHARANi kukiri tabu na ndiomaana HADHARANi nyimbo zikumbukwazo nni kama zile:

``NZU nzu NZU we mama NYUKILIA WEE.
Toka mbali kutafuta UA zuri la CHAKULA!
Wee MAMa NZU nzu nzu NYUKILIA weee.´´

AU ule:

``KADODA unaumwa?
Ndio NAUMWA.

UGALI utakula?
SILI naumwa.

Mchicha utakula?
SILI naumwa.

MAZIWA JE?

Looh ntakunywa lakini bado naumwa!
Looh NTAKUNYWA lakini bado naumwa!
Loooh ntakunywa lakini mbado NAUMWA!´´

Swali:
  •  Unakumbuka?


Ni katika KUMBUKUMBU tu MHESHIMIWA!
JUMAPILI NJEMA MHESHIMIWA na wala USIKONDE!

Hebu tupatiwe BWANA YESU NAKUPENDA  ghafla kwamsaada wa ROSE MHANDO


Halafu tu ghafla tena SAIN ZAHOOR aingizie mwanana- ALLAH HOO
Au tu Nusrat Fateh Ali Khan ndio azime kwa- Allah Hoo Allah Hoo

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:29 pm  

hahahaaaaa... huo wimbo ninaukumbuka sana na nimeuimba sana lakini leo una...basi naacha

SIMON KITURURU 12:44 pm  

@Yasinta: DUH!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP