MAZINGIRA huchagulia watu POMBE!
>> Monday, February 27, 2012
Mazingira yana laana zake,...
..... na MTU atokeaye katika mazingira ya wapika GONGO ni rahisi kujikuta kaonja GONGO.
Swali:
- Si unajua MAZINGIRA yakiruhusu kuna WASIOJUA ambao WANGEJUA kwa kuwa tu MAZINGIRA watokayo ni SHULE tosha?
- Na si unajua MAZINGIRA mara kibao huchagulia mpaka watu DINI?
Ndio,...
.....MAZINGIRA yangeruhusu,...
.... labda WANYWA GONGO wangekuwa wanakunywa tu BIA.:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Jumatatu njema MKUU!
Hebu YAMI BOLO aingilie kati kwa-Cool IT Down
Tenor Saw arudie-FEVER
Halafu tu TOM JONES abadili kabisa mchezo kwa-Sex BOMB
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Si uongo kabisa People are the product of their environment..
Labda tuongezee na kusema kwamba wanaokuzunguka husaidia sana mazingira ya pombe yawe.pia kunakufanana kwa mazingira ya mahali fulani ambayo matokeo yake lazima pombe inweke.kaka s
Post a Comment