Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuhusu UKWELI mtandaoni kikompyuta au simu na UKWELI kikweli USO kwa USO!

>> Monday, February 20, 2012

Ki USO kwa USO,....
....labda UKWELI ni KWELI zaidi,...
..... ingawa yasemekana kuna ambao ukweli ki USO kwa USO hawapendi kwakuwa hata kikujamba kiuso kwa uso kuna mpaka HARUFU ambazo kisimu au katika intaneti PAFYUMU huwa hazistukiwi kirahisi,...
....kitu kifanyacho masupastaa wako wala hufikirii au hata hustukii WANAKUNYA tu mavi yanukayo aisee!:-(

Swali:
  • AU?


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
JUMATATU NJEMA!!:-(
Hebu Super Cat na Heavy D waanzishe upya kwa - Dem Don't Worry We
SUPERCAT aendelee kwa -DON DADAHalafu SUPERCAT aongezee dozi kwa-DOLLY my BABYHebu TENOR SAW aingilie kati kwa- Ring the ALARM


Halafu tena ni SISTER NANCY ndio azime kwa -BAM BAM

Sijui kwanini ila ngojea tu tena SUPER CAT amwage tena yetu ya -OLD VETERAN

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:39 am  

:-(

Anonymous 12:08 pm  

duh! kaka.... yani nikipitiaga blogu yako hua nacheka, nashangaa, yani..... i wish ungeniona, pengine mimacho inanitoka kwa kushangaa cjui ndo sielewi falsafa au vp, lkn BIG UP SANA KAKA Kitururu, unanifurahisha sanaaaa....

SIMON KITURURU 12:41 pm  

@Yasinta: :-(

@Anonymous: Karibu sana Mkuu! Na falsafa moja kitu nni tafsiri tu kwa hiyo unaelewa nachosema Mkuu!

Yasinta Ngonyani 2:06 pm  

Lakini kwanini?

SIMON KITURURU 11:34 am  

@Yasinta: Sijaelewa swali lako unalenga nini.

Yasinta Ngonyani 11:57 am  

swali langu lahusu hapa nanukuu "Kuhusu UKWELI mtandaoni kikompyuta au simu na UKWELI kikweli USO kwa USO!"
Nilidhani....:-( ukintafuta nitakuambia zaidi.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP