Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Samaki ndani ya MAJI kwake MAJi ni kawaida na LABDA huwa HAFIKIRII maji!

>> Wednesday, February 15, 2012

Na MTU yake yaliyogeuka KAWAIDA,...
.... yasemekana huwa HAYAMFIKIRISHI ,...
... ingawa labda ndiyo hayo ya kawaida ambayo kwake ni MUHIMU zaidi.

Swali:
  • AU?
  • Unakumbuka labda yamuhimu kwako ni yale usiyoyapa UMUHIMU kwa kuwa kwako unayachukulia kawaida?

Ndio,...
.... la muhimu usipoangalia,...
... huwa tu ni MUHIMU kwa kuwa umelipa UMUHIMU!:-(
Swali:
  • Si unajua labda si mara zote ni kweli kuna umuhimu hata wa CHUPI kwa binadamu na labda ndio maana BINADAMU huzaliwa uchi a.k.a bila GWAGURO?

Ndio,...
.... hili ni wazo tu MKUU!:-(
SIKU NJEMA KIJEBA na MWANABIBI!

Hebu Nyanyembe Jazz Band waingilie kati na kurudia-Rangi ya CHUNGWAAu tu turudi Angola ili David Zé sijui kwanini arudie-Undenge Uami


Halafu Mulata africana wazime kwa -Oh africa


1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:33 am  

Bonge la wazo leo na hapa inabidi mtu utafakari ile mbaya...Siku njema nawe pia mkaka!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP