Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Poleni wana SONGEA kwa yaliyotokea kwenye MAANDAMANO!

>> Wednesday, February 22, 2012

Nasikia sasa hivi waandamanaji TISA wametutoka!
Mungu awalaze mahali pema PEPONI!


Picha ya mmoja wapo.Source: Songea Yetu Blog
Habari zaidi :
SONGEA YETU BLOG
http://www.songeayetu.blogspot.com/

7 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 4:21 pm  

Nimepatwa na mshtuko kweli maana ndugu zangu karibu wote wapo Songea. Pole sana Songea Yetu.

Yasinta Ngonyani 4:21 pm  

Nimepatwa na mshtuko kweli maana ndugu zangu karibu wote wapo Songea. Pole sana Songea Yetu.

sam mbogo 5:54 pm  

pole sana Da Yasinta. nduguzako watakuwa wako salama.kaka s.

Mija Shija Sayi 12:21 am  

Dah!

Ester Ulaya 9:39 am  

Pole yao sana

SIMON KITURURU 11:31 am  

Pole sana Yasinta!Ni matumainni yangu umeongea na ndugu na jamaa Songea kudeku kama wote akina KADALA na KADODA wako shwari!

Yasinta Ngonyani 11:53 am  

Ahsante kwa pole ila sijaongea nao na naamini wapo vema kwani kungekuwa sio ningepata taarifa...Simon umenifurahisha sana haya majina KADALA NA KADODA umenifanya nicheke hapa peke yangu:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP