Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hata kama SURUALI ni ileile,...

>> Tuesday, February 07, 2012

... MFUKO wa MBELE,...
.... ni tofauti na MFUKO wa NYUMA.

Swali:
  • Kwani hata mtu abishe bado ukweli uko palepale MBELE ni tofauti na NYUMA?

Ingawa labda,....
... ukigeuka,...
..... kulikowahi kuwa nyuma,....
.... ndiko MBELE kisafari hata kama safari yenyewe ni ya KURUDI nyuma.

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!


Hebu tukatizie GHANA tena ili Nana Boroo na Mugeez warudie- Bebia Soso
Hapahapa GHANA ngojea tu tena Nana Boroo arudie- AhayedeAu tu hebu WINSTON SOSO azime kwa-I don't MIND2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Swahili na Waswahili 7:19 pm  

Ahsante kaka wa miomi mwana wa Kitururu,kuna wimbo uliimbwa mbele kwa mbele tusirudi nyuma,uwe na wakati mwema!!!!!

Yasinta Ngonyani 8:18 pm  

Nimeamini kuwa waTanzania wengi tunaogopa sana kuongea ukweli wa mambo. Lakini Kaka Simon hakika nakusimu unaandika kila ulichonacho moyoni bila kupindapindo. Upo juu na wala usiache:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP