Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KAMA MAGIC JOHNSON ASINGETANGAZA kuwa ANA UKIMWI!

>> Friday, November 07, 2008

Ukimuangalia Magic JOHNSON unaweza kusahau kuwa ni mwaka 1991 ndio aligundua ana vijidudu vya UKIMWI. Anaweza akawa ana afya nzuri hata kuliko mimi na wewe hasa kama hatujacheki kama mwilini tuna vijidudu hata vya UTAPIAMLO.

Na labda ni kweli yuko fiti kuliko yule.....na .... ambaye unafikiria kucheza naye mchezo wa baba na mama pale gizani kwa sababu unaaibu ndio maana ushafikiria utazima taa wakati ukitoa sehemu za faragha.

Hebu muangalie hivi sasa alivyo ,baada ya zaidi ya miaka kumi na saba ya kuwa na UKIMWI, wakati akihojiwa na CNN kuhusu ushindi wa OBAMA



AU tuangalie tu habari muhimu kutoka CNN kama ihusuyo kuku kaonekana anavuka barabara...

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP