Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UKIONYESHWA picha ya LIMTU mara kwa mara nakuambiwa hilo LIMTU ni YESU.

>> Thursday, November 06, 2008

Naamini unaweza ukadhani unajua sura ya KITUMBUA ingawa UKWELI ni kwamba unajua kitumbua ni utamu tu wa kitumbua na sio umbo la kitafunio kiitwacho KITUMBUA.

Lakini unaweza kukibadili umbo kitumbua na kukiita jina SIKUJUA , kama unahisi ndio jina kitakachoitika.

Unaweza kusahau!
Ukionyeshwa picha ya KAKOBE mara kwa mara na kuambiwa huyo ni KAKOBE, hukawii kuanza kuamini kuwa umuangaliaye ni KAKOBE.


KUMBUKA TU kuwa ukiendelea kuitwa NGURUWE kila mara na watu au PUSI wadhaniao unaitwa NGURUWE, hutakawia kuanza kugeuka au kuitikia jina NGURUWE.

Swali:

  • Unaitwa nani vile?
  • Unauhakika hilo jina lako ni wewe?
SIKU NJEMA!

Tulia tuangalie ujinga kama vile ujinga ni kuzaa


Au ngojea Wasalu Muhammad Jaco aka LUPE FIASCO aseme DUMB IT DOWN

ASANTE SANA kwa wadau wote na pia ambao hamkunitenga juzi ya jana ambao baadhi ni .....

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket
Au endeleza kuangalia kiwezacho kuwa ni busara kutokana na kona ya mtazamo wako sasa hivi kutoka kwa BUSTA RHYMES katika Lyte ya ass on FIRE

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP