Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

DUME likionjwa!

>> Sunday, November 09, 2008

Jamii inataka kutuhakikishia kuwa ni JIKE linaonjwa wakati kuna wajulikanao kwa kula firigisi za BEBERU.


Labda kuna dume lisilo mtu!
Labda jike linaliwa kama unafikiri JOGOO si dume.

Kuonja ni kujaribu kama inafaa au haifai.

AU?
Kuonja sumu kama unajua ni sumu ,labda unajisikia kufakufa.


Najua unaweza kuonja makamasi kama unahisi kuwa ni siri yako wakati uko peke yako.
Labda nusa mavi yako kwa sababu bado unafikiria hayanuki kama kinyesi cha yule.
Ukionja dume, labda unajitahidi tu zaidi kidogo kwasababu huna uhakika Jike lina kautamu mtarajiwa.

Swali:

  • Unakumbuka labda katika mahusiano ya kuku wawili jike, labda mmoja ni jike?
  • Unajua labda katika Jogoo wawili katika penzi, labda mmoja ni jike na halitagi?

Kuna wengi kisiri wanaweza wasiwe na hakika....
.....lakini labda kama wewe sio nyama , USIONJWE lakini.

DUH!
Topiki imenishinda..



Ngojea basi tumsikilize MR PREGNANT akiri matatizo ya DUME ZIMA kutoona KIKOJOLEO.

Au twende mtaani JAPAN ....Katika BAD MAN FORWARD

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP