Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MFUATA dini, mvuta BANGI na MLEVI, kama wote ni WALEVI wa hichohicho kilevi chao ingawa MNYWA pombe ndio aitwa MLEVI!

>> Thursday, November 06, 2008

Unaweza kubisha!
Ukiwaangalia wote bila sauti wafanyayo kwenye nyumba yao ya kilevi ingawa inaweza kuitwa KANISA au MSIKITI kama sio CHOO, wafanyayo katika kusujudu yaweza kukukumbusha mcheza mziki achezaye mziki vizuri wakati hakuna mziki .

Staili za kainama kainuka, kapiga magoti kabinuka, zinavalishwa heshima tu jamaa watafsirivyokuwa unamsujudia MUNGU wao wakweli ambaye ukweli wake kwako unauhakika kwa sababu wewe MSABATO na sio MLUGALUGA kama wale wajambao katika kuita MBINGU au kujaribu kukwepa JEHANAMU .

Kumbuka hata ubinuke vipi , kama humbinukii MUNGU au ZUBEDA aaminikaye analipa katika jicho laafikiriaye anajua nani ana tamutamu kunoga, wenye kuona waweza kutaka kukuokoa kwa kuzani unambinukia MIUNGU na sio MUNGU.
Swali:

  • Ukimsujudia kalumekenge unalamba eeh?

BAADAYE BASI!
Twende KAMERUNI kidogo kwa RICHARD BONA atekenye kwa kibao EKWA MWATO

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP