Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

WAKATI unabisha HUKUJAMBA, labda unatumia nguvu za KUTUMIA nguvu TU!

>> Thursday, November 06, 2008

MAITI haiachii ushuzi.
Kama hupendi harufu mbaya , inawezekana UNAUWEZO TU wa KUNUSA na sio kweli unapenda harufu nzuri.

Tunaweza tukajifanya hatukusikia ingawa unajua tunajua umejamba.

Kumbuka lakini....

Mara nyingine tusikiacho si kijambo ingawa tunabana pua wakati unajua uliburuza kiti tu.
Ukidhani tunadhani umeachia ushuzi, unaweza ukawa unajisikia kama tu ulivyojamba.

UKIKAA KIMYA si lazima maana yake HUBISHI na hutumii nguvu kwa kukaa kimya.
Swali:

  • Unafikiri hujajaribu kukibishia kijambo leo?
  • Bado hunibishii tu? LOOH!
  • Unauhakika hutumii nguvu kujaribu kunielewa kama niandikacho ni ujinga au ushuzi?
Ukijamba , kumbuka kuwa ulikuwa na cha kujamba.

BASI NAACHA MKUU!

Twende tena kiduchu basi KAMERUNI kwa RICHARD BONA aseme EYANDO


AU twende tu na South Afrika kwa SOUL BROTHERS waseme INTOKAZI

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP